Nakupenda Elja Eks Lyrics

Nakupenda Lyrics Elja Eks

Recently Added Lyrics Elja Eks Nakupenda

Elja Eks comes through with a new song titled "Nakupenda" Our vibrant community of passionate editors is making sure lyrics is up to date with the latest.

See & Read Elja Eks Nakupenda Lyrics


Lyrics Elja Eks Nakupenda by smargue Lyrics

YEAH (yeah² yeah²) hmm
Elja² hmm
YANGO TCHAY YANGO BI*CH (yango tchay Yango bi*ch)

KILA NIKIONA MACHO YAKO HOO!
NASIKIA MOYO WANGU UNASEMA
(yeah)
KILA NIKIONA SULA YAKO HOOO!
NASIKIA MOYO WANGU UNASEMA HAA!

HEE MAMA WE (yeah²)
SIKU ZOTE MI NINGE PENDA KUWA NA WE
ILA MOYO WANGU SIWEZI KUKUAMBIA
KISA NAHOFIA KUKUPOTEZA
URAFIKI WETU MAMA MUHIMU KWANGU
MAMA WEWE (haa yeah²)

KILA NIKIONA MACHO YAKO
NASIKIA MOYO WANGU UNASEMA HA!
(a)
KILA NIKIONA SULA YAKO HOO!
NASIKIA MOYO WANGU UNASEMA HAA!

HOO!
NAKUPENDA
MI NAKUPENDA
HO NAKUPENDA
YEAH NAKUPENDA
MI NAKUPENDA
HO NAKUPENDA
MI NAKUPENDA
HO NAKUPENDA

NIKIONA MACHO YAKO
NAKOSA PUMZI YA KUWEMA
NAKUPENDA JINSI SIJAWAHI PENDA
FACEBOOK INSTA SIJAWAHI KUONA KAMA WEWE
WE NDO FURAHA YANGU
MAISHA YANGU BILA WEWE HAYANA MAANA
ILA MOYO WANGU SIWEZI KUKUAMBIA KISA NAHOFIA MA

KILA NIKIONA SULA YAKO HOO!
NASIKIA MOYO WANGU UNASEMA
(a)
KILA NIKIONA MACHO YAKO
NASIKIA MOYO WANGU UNASEMA HAA! HA!

NAKUPENDA
HO NAKUPENDA
MI NAKUPENDA
MA! HA!
NAKUPENDA
MI NAKUPENDA
HO NAKUPENDA

AYEKUPENDA
HUWEZI KUKUAMBIA
KWA SABABU ANAOGOPA KUKUPOTEZA MA!
ILA NIKIONA MACHO YAKO
NAKOSA NA PUMZI MAMA HA!
NAKOSA MI
HO NAKOSA MI! HI!

KILA NIKIONA MA HA NAKUPENDA
KILA NIKIONA MA YEAH NAKUPENDA
KILA NIKIONA MA MA HO NAKUPENDA
KILA NIKIONA MA MA MACHO YAKO

MI NAKUPENDA
HOO NAKUPENDA
YEAH² NAKUPENDA
MIMI NAKUPENDA
HAA NAKUPENDA
YEAH² NAKUPENDA
YEAH² NAKUPENDA
NAKUPENDA MAMA


Lyrics By smargue Lyrics

Share this